Idadi ya Watu Kimkoa na Wastani wa Kasi ya...
Idadi ya Watu imeongezeka kutoka idadi ya watu 12,313,469 kwa sensa ya Mwaka 1967 mpaka kufika idadi ya Watu 44,928,923 kwa sensa ya Mwaka 2012. Wastani wa kasi ya ongezeko la idadi ya watu Tanzania kwa mwaka imepungua kutoka asilimia 3.3 mwaka 1967 hadi asilimia 2.7 mwaka 2012. Kwa upande wa Tanzania Bara, wastani huu umepungua kutoka asilimia 3.2 mwaka 1967 hadi asilimia 2.7 mwaka 2012. Zanzibar wastani wa kasi ya ongezeko la idadi ya watu kwa mwaka iliongezeka kutoka asilimia 2.7 mwaka 1967 hadi asilimia 3.1 mwaka 2002 na kushuka hadi asilimia 2.8 mwaka 2012.
Data Dictionary
Column | Type | Label | Description |
---|---|---|---|
Region | text | ||
1967 | text | ||
1978 | text | ||
1988 | text | ||
2002 | text | ||
2012 | numeric | ||
Projected Population 2016 | numeric | ||
Growth Rate 1978-1988 | text | ||
Growth Rate 1988-2002 | text | ||
Growth Rate 2002-2012 | numeric |
Additional Information
Field | Value |
---|---|
Data last updated | November 23, 2016 |
Metadata last updated | November 23, 2016 |
Created | November 23, 2016 |
Format | CSV |
License | License not specified |
Datastore active | True |
Has views | True |
Id | da25953c-2bcd-4cbd-95b2-7d48b8fc4059 |
Lang | en |
Package id | 977cb93c-61ed-4bff-9bb4-c11895b8d017 |
Position | 1 |
State | active |
Webstore last updated | None |
Webstore url | None |